Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Habari, shock up za harrier old(2AZ engine) 2 wheel.. Naomba bei ya used na mpya, pamoja na steering reck
 
naweza kupata buti ya gx110 Grande (35 anniversary) yenye reverse camera

bei ipoje
 
Kiongozi, nina prado 95, ina tatizo la kuyumba sana barabarani nikiwa spidi kuanzia 70 tu, nimebadilisha vitu vyote vya mbele, boljoint, tyrod nk, nimepiga wheel balancing/ alignment lakini bado tatizo lipo, je yaweza kuwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…