Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Habari, shock up za harrier old(2AZ engine) 2 wheel.. Naomba bei ya used na mpya, pamoja na steering reck
 
Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.

Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako ukishapokea kwa wakala wetu ?

Spare yoyote ile kwetu inapatikana iwe body part kama bampa, taa n.k au hata engine , gearbox na spare nyenginezo.

Unaweza kuniPm oda yako au nitumie ujumbe kwa WhatsApp au text ya kawaida .

Namba yangu ya simu ni 0658124554View attachment 1072803View attachment 1072804View attachment 1072805View attachment 1072807

Sent using Jamii Forums mobile app
naweza kupata buti ya gx110 Grande (35 anniversary) yenye reverse camera

bei ipoje
 
Kiongozi, nina prado 95, ina tatizo la kuyumba sana barabarani nikiwa spidi kuanzia 70 tu, nimebadilisha vitu vyote vya mbele, boljoint, tyrod nk, nimepiga wheel balancing/ alignment lakini bado tatizo lipo, je yaweza kuwa nini?
 
Back
Top Bottom