Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,482
- 2,600
vp ulipata ile passo uliyokuwa unatafuta?Hivi kumbe bei za vifaa vya magari hata Toyota ziko bei juu namna hii? Kumbe kumiliki gari ni gharama sana?
Yaani Taa ya mbele ya IST 400,000???
Uwiiiiiiiiiiii
Spare gani mkuu nimekuzingua?We jamaa hauko serious, unaulizwa spare fulani hapa jukwaani, unajibu unayo, ukifatwa kiuhalisia full mizinguo...eti kwanini?
vp ulipata ile passo uliyokuwa unatafuta?
Hapana hakuna taa ya Ist ya bei hiyo ,taa ya ghali ni ya booster ambayo ni 350,000/= na maongezi kidogoHivi kumbe bei za vifaa vya magari hata Toyota ziko bei juu namna hii? Kumbe kumiliki gari ni gharama sana?
Yaani Taa ya mbele ya IST 400,000???
Uwiiiiiiiiiiii
Ndio mkuu hivi ni vitu vidogo ambavyo ni adimu ,ni mara chacha hivyo kuhitajika kwahiyo pia uwepo wake ni mdogoMkuu kidude chenyewe ni kama hicho, ndio bei hiyo mkuu[emoji115][emoji115].View attachment 1502845
Raum new au old na taa ya mbele au nyuma?Taa ya kushoto ya raumu.
Carry gani boss,ya injection au Cabulator?Nahitaj coil za suzuki carry
Raum new au old na taa ya mbele au nyuma?
Mkuu, nimekuelewa, na upo sahihi kabisa kuwa ni kakitu kadogo lkn adimu sana maana nimetafuta sana kwakweli. Mimi bwana nitakutafuta inbox maana ninayo pungufu, nina 50 siwezi pata mkuu?Ndio mkuu hivi ni vitu vidogo ambavyo ni adimu ,ni mara chacha hivyo kuhitajika kwahiyo pia uwepo wake ni mdogo
Nicheki 0658124554 tuongeeMkuu, nimekuelewa, na upo sahihi kabisa kuwa ni kakitu kadogo lkn adimu sana maana nimetafuta sana kwakweli. Mimi bwana nitakutafuta inbox maana ninayo pungufu, nina 50 siwezi pata mkuu?
25000 kwa moja topCarry ya injection kaka
Ya booster 280,000/=Mbele new modal
Bumper ya mbele 450,000/=Mkuu bumper ya mbele na nyuma la Runx shilingi ngapi?
Pamoja na taa za nyuma za runx
Mkuu hii bumper ya mbele inakuja na nn?Bumper ya mbele 450,000/=
Ya nyuma 250,000/=
Taa 170,000/= kila moja