Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Hivi kumbe bei za vifaa vya magari hata Toyota ziko bei juu namna hii? Kumbe kumiliki gari ni gharama sana?

Yaani Taa ya mbele ya IST 400,000???
Uwiiiiiiiiiiii
 
Ndio mkuu hivi ni vitu vidogo ambavyo ni adimu ,ni mara chacha hivyo kuhitajika kwahiyo pia uwepo wake ni mdogo
Mkuu, nimekuelewa, na upo sahihi kabisa kuwa ni kakitu kadogo lkn adimu sana maana nimetafuta sana kwakweli. Mimi bwana nitakutafuta inbox maana ninayo pungufu, nina 50 siwezi pata mkuu?
 
Mkuu, nimekuelewa, na upo sahihi kabisa kuwa ni kakitu kadogo lkn adimu sana maana nimetafuta sana kwakweli. Mimi bwana nitakutafuta inbox maana ninayo pungufu, nina 50 siwezi pata mkuu?
Nicheki 0658124554 tuongee
 
Wakuu natafuta cylinder head ya Mitsubish delica engine 4D56
 
Mkuu bumper ya mbele na nyuma la Runx shilingi ngapi?
Pamoja na taa za nyuma za runx
 
Back
Top Bottom