Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Mtaalam nakupigia naona hupokei......natafuta sterring rack ya corolla runx!
 
Timing cover ya engine ya 1NZ FE, ya corolla runx 2002 1.5L, naweza pata kwa bei gani? (Cover inayofunika timing chain)
 
mkuu master hivi unaweza aje kujua kama milage ya gari imechezewa yaani imerudishwa nyuma ?

je ninkweli inawezekana kurudisha nyuma


kuna gari nataka kuichukua ila naona kama imesogezwa milage.

help me sir
 
mkuu master hivi unaweza aje kujua kama milage ya gari imechezewa yaani imerudishwa nyuma ?

je ninkweli inawezekana kurudisha nyuma


kuna gari nataka kuichukua ila naona kama imesogezwa milage.

help me sir
Ndio mkuu milleage hua zinarudishwa nyuma lakini kugundua kua imerudishwa nyuma ni ngumu.

Nadhani kikubwa angalia tu uzima wa gari
 
kampuni ipi nzuri mkuu,
sorry !
Mkuu, oil zipo kampuni nyingi. Siwezi sema ununue ipi lkn kwa ushauri oil ambazo mawakala wakubwa wapo hapa hapa nchini, nunua Total au Castro au Toyota au Liquimoly. Kwakua kumekua na uchakachuaji mkubwa wa oil, nashauri kama ni total basi nenda total petrol station kanunue na kama ni Castro fanya hivyo pia, na oil nyingine pata wakala wa kuaminika. Watu wanajaza oil kwenye chupa za kampuni fulani na kuuza as if ni kampuni hiyo kumbe ni feki, ni oil za bei rahisi ndio zimejazwa kwenye vidumu vya kampuni za kuaminika
 
mkuu shukrani sana ,[emoji1666][emoji1666].

waislam tunasema jazaka llah kheir
 
Mkuu vip kuhusu shock up za. Zuzuki carry injection Bei ikoje na je waweza tuma mkoani. Naomba Bei zake mkuu chap nikupe kazi tafadhali ziwe mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…