Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaalamu uliniambia ni ya kawaida sio umeme,je gari yako ilikuja 4wd au 2wd? Nataka nibalance bei tufanye biasharaMtaalam nakupigia naona hupokei......natafuta sterring rack ya corolla runx!
Mtaalamu uliniambia ni ya kawaida sio umeme,je gari yako ilikuja 4wd au 2wd? Nataka nibalance bei tufanye biasharaMtaalam nakupigia naona hupokei......natafuta sterring rack ya corolla runx!
Laki moja coverTiming cover ya engine ya 1NZ FE, ya corolla runx 2002 1.5L, naweza pata kwa bei gani? (Cover inayofunika timing chain)
Ndio mkuu milleage hua zinarudishwa nyuma lakini kugundua kua imerudishwa nyuma ni ngumu.mkuu master hivi unaweza aje kujua kama milage ya gari imechezewa yaani imerudishwa nyuma ?
je ninkweli inawezekana kurudisha nyuma
kuna gari nataka kuichukua ila naona kama imesogezwa milage.
help me sir
Injection au Cabulator?Naomba bei ya suzuki carry engine mswaki
Carina TI au SImkuu una show ya dashboard ya carina? bei gani?
Cabulator kiongozInjection au Cabulator?
Laki 8Cabulator kiongoz
Recommended oil viscosity ya 1nz fe engine ni 5w30 or 10w30mkuu oil nzuri ya IST engine 1NZ_ FE ni ipi ?
kampuni ipi nzuri mkuu,Recommended oil viscosity ya 1nz fe engine ni 5w30 or 10w30
Mkuu, oil zipo kampuni nyingi. Siwezi sema ununue ipi lkn kwa ushauri oil ambazo mawakala wakubwa wapo hapa hapa nchini, nunua Total au Castro au Toyota au Liquimoly. Kwakua kumekua na uchakachuaji mkubwa wa oil, nashauri kama ni total basi nenda total petrol station kanunue na kama ni Castro fanya hivyo pia, na oil nyingine pata wakala wa kuaminika. Watu wanajaza oil kwenye chupa za kampuni fulani na kuuza as if ni kampuni hiyo kumbe ni feki, ni oil za bei rahisi ndio zimejazwa kwenye vidumu vya kampuni za kuaminikakampuni ipi nzuri mkuu,
sorry !
mkuu shukrani sana ,[emoji1666][emoji1666].Mkuu, oil zipo kampuni nyingi. Siwezi sema ununue ipi lkn kwa ushauri oil ambazo mawakala wakubwa wapo hapa hapa nchini, nunua Total au Castro au Toyota au Liquimoly. Kwakua kumekua na uchakachuaji mkubwa wa oil, nashauri kama ni total basi nenda total petrol station kanunue na kama ni Castro fanya hivyo pia, na oil nyingine pata wakala wa kuaminika. Watu wanajaza oil kwenye chupa za kampuni fulani na kuuza as if ni kampuni hiyo kumbe ni feki, ni oil za bei rahisi ndio zimejazwa kwenye vidumu vya kampuni za kuaminika