Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

boss nahitaji vikombe vya gear box ya alphard (kulia na kushoto) , gear box ni ya 4wheel
0758728258
 
Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.

Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako ukishapokea kwa wakala wetu ?

Spare yoyote ile kwetu inapatikana iwe body part kama bampa, taa n.k au hata engine , gearbox na spare nyenginezo.

Unaweza kuniPm oda yako au nitumie ujumbe kwa WhatsApp au text ya kawaida .

Namba yangu ya simu ni 0658124554View attachment 1072803View attachment 1072804View attachment 1072805View attachment 1072807

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi haya ndo yale magari yaliyotekelezwa pale Tandale?
 
Nauza Original Spark Plugs za Nissan Xtrail, bei 20,000 kwa kila moja, mawasiliano 0754518670View attachment 1618996View attachment 1618994View attachment 1618995View attachment 1618997
IMG_20201021_105053.jpg
 
Wakuu habari..
Nna shida na half engine( block ya chini) ya 2SZ- FE inafunga kwenye Vitz old model
 
Back
Top Bottom