Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Bro habari.
Hivi mbona vifaa vya magari vinakuaga bei kubwa sana? Kakitu kadogo tu bei kubwa. Sababu hasa huwa nini.

Kweli hakuna mfanyabiashara akaja na strategy ya kuviagiza na kuuza bei cheap akapiga hela mpaka akazikimbia?
Gharama
1.kununua
2kusafirisha
3ushuru
4kodi
5VAT
6frem
7Faida
 
Bro habari.
Hivi mbona vifaa vya magari vinakuaga bei kubwa sana? Kakitu kadogo tu bei kubwa. Sababu hasa huwa nini.

Kweli hakuna mfanyabiashara akaja na strategy ya kuviagiza na kuuza bei cheap akapiga hela mpaka akazikimbia?
Vya bei nzuri kabahatishe Tandale, vipo kibao maana wanachinja gari za ajali bado mpya ukibahatisha
 
Bro habari.
Hivi mbona vifaa vya magari vinakuaga bei kubwa sana? Kakitu kadogo tu bei kubwa. Sababu hasa huwa nini.

Kweli hakuna mfanyabiashara akaja na strategy ya kuviagiza na kuuza bei cheap akapiga hela mpaka akazikimbia?

Ndio maana kutembelea matako ni heshima.
 
Habari mkuu

Taa ya mbele ya Honda Fit GD2 ya mwaka 2002 unauzaje? Na booster je peke yake unauzaje?
 
Nahitaji shock absorber za nyuma za Toyota Townace van GX cc 1780
 
RAV 4 Nusu Mkate ya 98

Taa ya Mbele Upande wa kulia
Taa ya nyuma upande wa Kushoto
Kioo cha Nyuma
Vioo vya pembeni
Kioo cha Mbele upande wa dereva

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom