EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
GharamaBro habari.
Hivi mbona vifaa vya magari vinakuaga bei kubwa sana? Kakitu kadogo tu bei kubwa. Sababu hasa huwa nini.
Kweli hakuna mfanyabiashara akaja na strategy ya kuviagiza na kuuza bei cheap akapiga hela mpaka akazikimbia?
Vya bei nzuri kabahatishe Tandale, vipo kibao maana wanachinja gari za ajali bado mpya ukibahatishaBro habari.
Hivi mbona vifaa vya magari vinakuaga bei kubwa sana? Kakitu kadogo tu bei kubwa. Sababu hasa huwa nini.
Kweli hakuna mfanyabiashara akaja na strategy ya kuviagiza na kuuza bei cheap akapiga hela mpaka akazikimbia?
Bro habari.

Taa 270,000/=Taa za nyuma za gx110 njano ndefu unauza bei gani? Pia bampa lamp pesa ngapi
280,000/=Habari mkuu
Taa ya mbele ya Honda Fit GD2 ya mwaka 2002 unauzaje? Na booster je peke yake unauzaje?
Zipo mkuuspare za honda crv 2005 unazo
Taa ya mbele kushoto honda crv 2005 ni sh?Zipo mkuu
Laki 4Taa ya mbele kushoto honda crv 2005 ni sh?
Hub 240,000/=
Master cylinder nitumie sample
MojaMoja au zote mbili
Hub completeMoja au zote mbili
Hub complete
140,000/= kwa pairNahitaji shock absorber za nyuma za Toyota Townace van GX cc 1780
Taa ya mbele ya cresto 180,000/=RAV 4 Nusu Mkate ya 98
Taa ya Mbele Upande wa kulia
Taa ya nyuma upande wa Kushoto
Kioo cha Nyuma
Vioo vya pembeni
Kioo cha Mbele upande wa dereva
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Master cylinder ya brake