Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Nahitaji xv joint ya Toyota premio na msalaba wake bei gan?
Pia nahitaji kufunga bearing mguu mmoja nayo bei gan?
 
Pia nahitaji kupata mwongozo wa bei ya compressor toyoto premio japo sitonunua leo
 
Nahitaji xv joint ya Toyota premio na msalaba wake bei gan?
Pia nahitaji kufunga bearing mguu mmoja nayo bei gan?
Cv joint 750,000
Msalaba wake (tyrod joint) 460,000
Bearing (tunauza kwa pair) 600,000

Jumla kuu 1,810,000/=
 
Nahitaji shock up za wish old model za mbele. Bei elekezi tafadhali.
 
Mkuu bampa la mbele la hio Kluger bei gani?
images%20(5).jpg
 
Attachments

  • images%20(5).jpg
    images%20(5).jpg
    48.7 KB · Views: 49
Mkuu stabilizer link za premio new model (2009) NZT 260-300043 nitapata kwa bei gani... Original spare ambayo nikifunga nasahau
 
Back
Top Bottom