Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Shukran kwa mchango wako,hii inamfaa zaidi ndugu yetu hapo juu mwenye townace aifanyie kazi
 
Mkuu naweza pata wapi fundi mzuri wa winch ya mlango wa Noah Voxy na matengenezo yake...Tafadhali
 
Natafuta spare zifuatazo za Pajero IO (GDI).
Naomba kama mnazo, na unauza bei gani?
a.) Brake lining za matairi ya nyuma.
b.) Wheel cylinder.
c.) Stabilizer link za matairi ya mbele.
d.) Drum za matairi ya nyuma.
 
Natafuta spare zifuatazo za Pajero IO (GDI).
Naomba kama mnazo, na unauza bei gani?
a.) Brake lining za matairi ya nyuma.
b.) Wheel cylinder.
c.) Stabilizer link za matairi ya mbele.
d.) Drum za matairi ya nyuma.
Brake lining 55000/=
Wheel cylinder 55000 1pc
Stabilizer link 50000 2pcs

Drum bado naziangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…