Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
- Thread starter
- #1,041
Spacio ganiMkuu stabilizer link ya spacio inapatikana kwa bei gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spacio ganiMkuu stabilizer link ya spacio inapatikana kwa bei gani?
Sleeves, pistons na nozzles za Hino H07D.Ndio mkuu vipo.
Niorodheshee ni vifaa gani unahitaji
Unaweza kunicheki WhatsApp pia 0658124554
OriginalNdio mkuu vipo.
Niorodheshee ni vifaa gani unahitaji
Unaweza kunicheki WhatsApp pia 0658124554
Hii hapa bei ya 1NZ si ni bei ya gari jipya kabisaEngine 1NZ complete bei yake Milioni 17
Gearbox laki 6
Shukran kwa mchango wako,hii inamfaa zaidi ndugu yetu hapo juu mwenye townace aifanyie kaziJamii forum hii site imekuwa msaada kwangu kutambua matatizo ya gari yangu. Ukweli n kuwa tuendelee kujifunza nmejifunza mengi kuna ushauri mmoja ulitolewa juu ya kuangalia oil ya gearbox gari ikiwa inawaka. Nilikuwa nikiangalia oil gari ikiwa imezimwa wakati wote oil ipo vizuri lakin baada ya kufuata ushauri kwa kuangalia gari ikiwa inawaka deepstic insignia empty na kutoa empty. Na inaalama ya cool na hot kwenye deepstick.
Sleeve 650,000/=Sleeves, pistons na nozzles za Hino H07D.
Namba ya nozzle. Ni DLLA150SN859.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Milioni 1.7 nilikosea mkuuHii hapa bei ya 1NZ si ni bei ya gari jipya kabisa
Nikutoka nchi gani na ni original wenyewe?Sleeve 650,000/=
Piston assy 700,000/=
Nozzles 700,000/= zote sita
Contact:0658124554
Ni Japan mkuu
Nitakutafuta watsap tuyajenge. Si zinapungua boss?Ni Japan mkuu
Original
Wacha nikufanyie karesearch kidogo nakurudia mkuuMkuu naweza pata wapi fundi mzuri wa winch ya mlango wa Noah Voxy na matengenezo yake...Tafadhali
350,000/= hii mkuu yote completeMkuu nahitaji hii show ya qx 110 complete na tv yake....bei ganView attachment 2287376
Ndio mkuu njoo WhatsApp tuyajengeNitakutafuta watsap tuyajenge. Si zinapungua boss?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Brake lining 55000/=Natafuta spare zifuatazo za Pajero IO (GDI).
Naomba kama mnazo, na unauza bei gani?
a.) Brake lining za matairi ya nyuma.
b.) Wheel cylinder.
c.) Stabilizer link za matairi ya mbele.
d.) Drum za matairi ya nyuma.
Hii ndio inakuwa 700000 kwa sita?Ndio mkuu njoo WhatsApp tuyajenge
Ndio mkuuHii ndio inakuwa 700000 kwa sita? View attachment 2288897
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app