Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Mkuu una spare za Bugatti Veyron 3of 5, McLaren senna, McLaren 720s, Kiessnigen, Ferrari 488, Ferrari 488 pista, Ferrari la Ferrari, Ferrari F8 Tributo, Ferrari F8Sterilade?

Pia una spares za Rolls Royce Phantom, Dawn na wrath? Je pia unazo za Pagani Hyria na Zonda?

Nitafurahi kujua kama pia unazo za Lamborghini Perfomante, Lamborghini huracan evo/spyder ba Lamborghini SVJ 900 superturbo horsepower.

Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa!

Robot la Matope
 
Hapana mkuu hizo sina
 
Huo ni mswaki wa 1NZ ,
Mteja alikua anatoka Dom kuelekea Masasi
Engine imemfia maeneo ya ikwiriri,
Hapo anatakiwa kesho awahi kwenye mazishi ya ndugu yake kwahiyo hakuna namna inabidi kila kitu kifanyike chap kwa haraka.

Mwamba ndio huyo sasa kwa bodaboda anawahisha mzigo Ikwiriri takribani km 160,
Go and return ni sawa na safari ya Dar to Tanga.

Ndio ametoka mida hii tumuombee afike salama na arudi salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…