Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
- Thread starter
-
- #81
Inatumia engine gani? Hiyo taa nitahitaji picha.Nahitaji Engine Control Unit (ECU) ya Impreza na taa ya mbele kulia yenye projector.
Ya gari gani
200,000/=Toyota Crown
Nahitaji taa za mbele za Brevis na foglight ya kulia Bei gan?Shock up za mbele au za nyuma?
Unahitaji mpya au used?
Taa 300,000/=Nahitaji taa za mbele za Brevis na foglight ya kulia Bei gan?
Hii corolla bado sijaijua nifahamishe vizuri mkuu ni corolla ganiShock ups za corolla nze za nyuma mpya bei gani?
Wanapenda kuiita corolla XHii corolla bado sijaijua nifahamishe vizuri mkuu ni corolla gani
150,000/=Wanapenda kuiita corolla XView attachment 1086076
Side mirror 120,000/=Side mirrors za corolla sprinter na kile kioo kidogo cha pembeni
Na power windowSina uhakika kama uko serious,nilichukua namba yako nikakupgia spare,kila mara unaniangalizia mpaka leo,nadhani leo nikiuliza hapa ndio nitapata majibu directly
Una water pump ya hizi subaru?impreza 2004
Water pump ni 280,000 lakini nitahitaji kujua kama ni turbo au non turbo na kama ni STI au ya kawaida.Sina uhakika kama uko serious,nilichukua namba yako nikakupgia spare,kila mara unaniangalizia mpaka leo,nadhani leo nikiuliza hapa ndio nitapata majibu directly
Una water pump ya hizi subaru?impreza 2004
Smaahani... Na saa peke yake sh. Ngapi. Carina si l8.Yote full pamoja na saa yake ni 480,000
180,000/=Smaahani... Na saa peke yake sh. Ngapi. Carina si l8.