Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Siku hizi Petrol station ukijaza wese ule mfuniko wa ndani wa tank la mafuta wanaiba.
Nimepigwa somewhere,natafuta wa kununua wa Vitz.
 
Mkuu nilikuuliza kuhusu 7a engen kiasi gani na je inainclude gearbox hiyo bei?
 
Water pump ni 280,000 lakini nitahitaji kujua kama ni turbo au non turbo na kama ni STI au ya kawaida.

Power window set yote ni 500,000/=

Hilo swala la kuchelewa kukujibu naomba unisamehe boss wangu , biashara haikosi madhaifu hasa ikiwa changa.

Kikubwa kupitia wewe nimejifunza kwamba mtu akipiga simu na kuulizia kitu natakiwa ni note sehemu ili baadae niwe na kumbukumbu kama nishamhudumia au la
Mkuu nimekuelewa,nilikuwa nahitaji vile vitu kwa haraka kweli,gari ni turbo,jumatatu nitakupigia tena tufanye biashara,ila power window bei si inazungumzika?
 
Clutch pressure ya 7K townace pick up
IMG_20190506_164451_8.jpeg
IMG_20190506_164503_7.jpeg
 
Habari ndugu, nahitaji Taa moja ya mbele BMW e60 525i ya mwaka 2008 . Utanisaidia vipi ndugu,? naomba na bei kabisa
 
Gearbox ya Suzuki swift
Ina select gear pembeni
Bei:500,000
Mawasiliano:0658124554
IMG-20190516-WA0026.jpeg
IMG-20190516-WA0027.jpeg
IMG-20190516-WA0028.jpeg
 
Back
Top Bottom