Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 920
- 994
Siku hizi Petrol station ukijaza wese ule mfuniko wa ndani wa tank la mafuta wanaiba.
Nimepigwa somewhere,natafuta wa kununua wa Vitz.
Nimepigwa somewhere,natafuta wa kununua wa Vitz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bampa 600,000/=Mkuu bampa la mbele la premio ya mwaka 2003 (japo wengine wanasema premio new model) ni sh ngapi?
Na side mirrors zake zote mbili ni sh ngapi?
35000/=Siku hizi Petrol station ukijaza wese ule mfuniko wa ndani wa tank la mafuta wanaiba.
Nimepigwa somewhere,natafuta wa kununua wa Vitz.
Mkuu nimekuelewa,nilikuwa nahitaji vile vitu kwa haraka kweli,gari ni turbo,jumatatu nitakupigia tena tufanye biashara,ila power window bei si inazungumzika?Water pump ni 280,000 lakini nitahitaji kujua kama ni turbo au non turbo na kama ni STI au ya kawaida.
Power window set yote ni 500,000/=
Hilo swala la kuchelewa kukujibu naomba unisamehe boss wangu , biashara haikosi madhaifu hasa ikiwa changa.
Kikubwa kupitia wewe nimejifunza kwamba mtu akipiga simu na kuulizia kitu natakiwa ni note sehemu ili baadae niwe na kumbukumbu kama nishamhudumia au la
Milioni 2.5Mkuu nilikuuliza kuhusu 7a engen kiasi gani na je inainclude gearbox hiyo bei?
Sawa mkuu tutazungumzaMkuu nimekuelewa,nilikuwa nahitaji vile vitu kwa haraka kweli,gari ni turbo,jumatatu nitakupigia tena tufanye biashara,ila power window bei si inazungumzika?
(Pick Hilux Vigo 2007) Pressure plate, clutch plate na liz bearings, sh ngap mkuu.?Clutch pressure ya 7K townace pick upView attachment 1090784View attachment 1090785
Inatumia engine gani hiyo Vigo mkuu(Pick Hilux Vigo 2007) Pressure plate, clutch plate na liz bearings, sh ngap mkuu.?
Nitumie picha ya hii gari 0658124554Habari ndugu, nahitaji Taa moja ya mbele BMW e60 525i ya mwaka 2008 . Utanisaidia vipi ndugu,? naomba na bei kabisa
Nipo hewani mkuu ,ungeniachia hata smsMkuu nimekupigia simu sikupati