Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Condenser ya suzuki Jimmy ikifanyiwa packaging kwajili ya kupelekwa kwa mteja
20221113_104129.jpg
 
Nahitaji egination coil spark za suzuki swift 2003 engine code M 13
DSC_0405.JPG
 
Kioo cha mbele cha nadia bei gani, na wamikoani unatuma mwenyewe au inabidi kufata huko.
 
Salaam ndugu zangu, kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.

Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako ukishapokea kwa wakala wetu ?

Spare yoyote ile kwetu inapatikana iwe body part kama bampa, taa n.k au hata engine , gearbox na spare nyenginezo.

Unaweza kuniPm oda yako au nitumie ujumbe kwa WhatsApp au text ya kawaida .

Namba yangu ya simu ni 0658124554View attachment 1072803View attachment 1072804View attachment 1072805View attachment 1072807

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, Nahitaji Gasket Head - Gari BMW 320i ya Mwaka 2002.
 
Back
Top Bottom