Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Gear box ya nissan carravan Qd 32 manual utaniuzia kwa bei gani mkuu?
 
Mkuu pole na majukumu na pia hongera kwa kutimiza vizur majukumu yako, nina shida ya MAF SENSOR CLEANER
Naomba unambie ni kiasi gani, ninahitaj sana hyo kitu!
 
1. Shock up za mbele na nyuma za Benz 202
2. Exhaust ya Benz 202
3. Bumber la mbele Benz 202
4. Taa ya kulia complete 202 Benz
5. Inside mirror Brake light ya ndani Benz 202
 
1. Shock up za mbele na nyuma za Benz 202
2. Exhaust ya Benz 202
3. Bumber la mbele Benz 202
4. Taa ya kulia complete 202 Benz
5. Inside mirror Brake light ya ndani Benz 202
 
Shock up za Toyota Highlander zinapatikana kwa shilingi ngap?
 
Asante mkuu ,hiyo unaweka kwenye gari gani?
Ni cleaner! Yaani ya kusafishia
Kwenye magari (langu gx 110) kuna kitu kinaitwa Mass Airflow Sensor(MAF) , sasa kuna dawa zake zipo in liquid form zinaitwa MAF sensor cleaner, ndio nazihitaj!!
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
1. Shock up za mbele na nyuma za Benz 202
2. Exhaust ya Benz 202
3. Bumber la mbele Benz 202
4. Taa ya kulia complete 202 Benz
5. Inside mirror Brake light ya ndani Benz 202
Nipe picha ya gari mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…