Lyambasa
Senior Member
- Sep 24, 2013
- 153
- 43
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba nipe na bei ya bearing zote 4Shock up za mbele
150,000/=
Za nyuma 150,000/=
Steering rack 270,000/=
Shock up hizo ni bei ya mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.
Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako ukishapokea kwa wakala wetu ?
Spare yoyote ile kwetu inapatikana iwe body part kama bampa, taa n.k au hata engine , gearbox na spare nyenginezo.
Unaweza kuniPm oda yako au nitumie ujumbe kwa WhatsApp au text ya kawaida .
Namba yangu ya simu ni 0658124554View attachment 1072803View attachment 1072804View attachment 1072805View attachment 1072807
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji Head lights za suzuki swift old- model.
Buster mbili za Murano kaka, na bulb zake, ziwe na mwanga wa kutosha kama za kuwinda porini
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.
Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako ukishapokea kwa wakala wetu ?
Spare yoyote ile kwetu inapatikana iwe body part kama bampa, taa n.k au hata engine , gearbox na spare nyenginezo.
Unaweza kuniPm oda yako au nitumie ujumbe kwa WhatsApp au text ya kawaida .
Namba yangu ya simu ni 0658124554View attachment 1072803View attachment 1072804View attachment 1072805View attachment 1072807
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante,nije wapi mkuu!
Nishauri mkuu, naweza kutumia bulbs za kawaida kama huna buster!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari. Stabilizing bar ya mbele, Toyota Rav 4 toleo la 2003 Dec. Inapatikana kwa bei gani?