Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unazo front bumper ya Passo Racy? Bei inaendaje? Pia mkono wa gear ya passo, kipisi cha mwisho chenye klutch button
 
Nahitaji diff ya Suzuki carry kile kijungu Cha katikati achana na tube housing, carry ya kawaida , shilingi ngapi?
 
Back
Top Bottom