Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Master nahitaji 'stabilizer links ' Toyota wish,napata?
 
Master nilikuuliza juu ya bei ya kitasa cha mbele kwa dreva gari nissan xtrail bei gan boss?
 
Taa za mbele I.S.T ya kawaida sh ngapi?na buster ni bei gani?na je mnatuma mkoani mimi nipo tanga
 
mkuu hiyo ni bei ya shoo pekeyake au na dashboard? mi nntaka tu shoo peke yake.
 
Back
Top Bottom