Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Mkuu hembu naomba bei ya front shockups za BMW x3 F25
 
Yako ni ile ya vitaa viwili?
Unaweza kunitumia picha?
Hiyo
1600680198603.jpeg
 
break za syteam za Corrola 110. miguu yote nawezapa kwa kiasi gani mdau? drum, hub, silinda, spring, adjuster na rubber
 
break za syteam za Corrola 110. miguu yote nawezapa kwa kiasi gani mdau? drum, hub, silinda, spring, adjuster na rubber

Mchek huyu jamaa yuko sterio pale temeke dsm . Gari yangu ilisumbua mafundi sana jamaa Ka fix ndani ya muda mfupi. 0789 694 973
 
Bampa la mbele la gari yangu limechakaa sana. Nataka nibadilishe. Unauza mabampa ya magari madogo? Mfano IST, VITZ, PASSO, HONDA FIT.
Being zake zinacheza kwenye how much
Ndio boss bampa zipo,ni bampa ya gari gani unataka?
 
Back
Top Bottom