Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Kama hii bei ya engine..

Sijui unafikiri wabongo ni wajinga unawalangua tu! Usidhani muuza spare upo peke yako Joo.
Engine 1NZ ni milioni 1.7 kwa sasa hapa Shaurimoyo, huko kwenu ni ngapi mkuu?
Maana hizi 1NZ miezi ya nyuma zilikua 1.5 mpaka 1.4 ila kwasasa zimepanda
 
Back
Top Bottom