Unahitaji Spare part gani tukuagizie kwa bei nafuu?

Unahitaji Spare part gani tukuagizie kwa bei nafuu?

Asante,hivi kwa gari kama Kluger ni betri N ngapi inafaa kuwekwa?
Hata N150 unawezakuweka kama nafasi ipo, kinachotubana huwa ni nafasi.

Kluger inafunga 55D23L ambayo ni equivalent na N45.

kupata N45 huku kwetu ni kipengele labda kuagiza, Otherwise uweke N50.
 
Hata N150 unawezakuweka kama nafasi ipo, kinachotubana huwa ni nafasi.

Kluger inafunga 55D23L ambayo ni equivalent na N45.

kupata N45 huku kwetu ni kipengele labda kuagiza, Otherwise uweke N50.
Asante kwa ushauri
 
Boss naona ni chuma za mzungu tu, sisi wa kijapan tunahusika pia humu au?
Wajapani, kama tu una mjapani anayeuza World wide.

mfano toyota rav 4, prado, avensis, camry, n.k.

Pia lexus zote na wajapani wengine ambazo gari zao zinauzwa world wide.

Siwezi pata spare za gari ambayo ni JDM unless kwaspare ambazo inashare na hawa wanaouza world wide.
 
Bei ya gearbox ya Nissan Xtrail NT 31 ya 2008 ikoje?
 
1689245671791.jpg

2AZ
1689838516749.jpg
 
Back
Top Bottom