Unahitaji Spare part gani tukuagizie kwa bei nafuu?

1689839328889.jpg

VW engine mounts
 
Ntakuangalizia mkuu,
Samahani mkuu
Nina gari yenye 2NZ engine, ukianza kuondoka ipo vizuri ila ukitembea kama kilometa 7 hivi inaanza mlio wa kukoroma kwenye engine na inaanza kuwa nzito, ukiikanyagiza zaidi inawaka check engine ya njano.

Nimekwenda kupima kila inapotokea hivyo zaidi ya mara mbili sehemu tofauti na jibu linakuja oil haifiki vizuri kwenye vvti sensor, wanasafisha pale chini ya vvti kuna sehemu ya kufungua na 'alan kea' (sina uhakika na inavyoandikwa) na kisha tatizo linajirudia.

Muongozo mkuu wangu.
 
mkipima mnapata code gani?
 
Sasa bei ya nini? Wakati hujanipa engine code?
Aisee kuwa na gar kitu kingine kuijua kingine.unamwambia vvti sio ingine.kama sijakosea ni mfumo unaofanya gar isile mafuta sana.variable valve timing with intelligent. Asome kakibao kama kama silver ataona wameandika engine number au atajuaje aina ya engine yake?
Honda fit bushes zipo?
 
Back
Top Bottom