Unahitaji Spare part gani tukuagizie kwa bei nafuu?

Naweza kupata dashboard ya toyota spacio old model ile ya digital, Kama hiyo hapo kwenye picha?
 
Ahsante,
Hivi kuagiza hiyo used inaweza kuwa shilingi ngapi maana nilimtuma fundi wangu anitafutie, kazunguka ilala, tandale mpaka temeke huko, kila aliyopata ilikuwa haionyeshi vizuri. Kaambiwa upatikanaji wa hizo ni mgumu mpaka wavizie magari yanayochinjwa.
Fundi aliwahi kuifungua nikapiga picha sehemu ya nyuma yenye namba ya part kama nilivyoambatanisha hapo chini

 
pia nimepata picha nzima mtandaoni
 
nahutaji winkers za bmw x3 2005, taa za mbele angel eyes, lock nut na redio yake og
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…