Mi naona tuwakaribishe waandaaji wa kipindi cha luninga cha CHEATERZ wafanye kazi naaba wateja wako wengi na hawajui wapi watapata huduma
Asante mteja to be... Tutalifanyia kazi as soon as Bill Gates Leaves the country....
na simu ya mwenza nayo iwe na GPS?
cheaters at work!!!!!!! lol....
Easy wewe unamnunulia darling wako birthday present Blackberry, akenue kumbe mtego huo.
Lakini mtaalamu speaker nadhani kafafanua kuwa si mpaka iwe ni simu ya bei mbaya, tusubili ufafanuzi wake. But my suggestion ili huweze kumbadilishia mtu simu lazima hiyo mpya iwe quality kuliko ya zamani.
hiyo kitu inaendaje nataka kuacha mtu try on me niko ready
Dada mi naomba nikuulize.. Unataka kuachana na huyo wako mwandani? Kama jibu ni ndiyo, then PM speaker, otherwise-we chill tu. Sio mpango kufuatiliana. Lazima uonyeshe kujiamini, yaani hata simu yake ikiita sebuleni na yeye yuko chumbani, unampelekea then unarudi zako sebulen. Mwisho wa siku atakuja kutambua kwamba "yote ni ubatili mtupu".<br />
<br />
Poa nitaku PM
Utamlindaje mtu mzima kama mtoto bwana?Cheater wa ukweli ni ngumu sana kumkamata maana hata simu anakua nayo ya siri!Msijitakie presha zisizo za lazima bwana!!
Kama hauna imani na mwenzi wako,..
hauamini kama kila simu anayo pokea sio ya vimada au vidumu,...
unaweza kuondoa hofu hiyo,kwa kumfuatilia kisiri siri katika mawasiliano
yake yote!
Akipigiwa simu,na wewe utasikia maneno yote (kwenye simu yako)!
Kila sms atakayo pokea utaipata pia (kwenye simu yako)!
Nitafute,nipe namba yako ya simu,nikupe ujanja huo!
Note:
1.Rafiki yangu ali m-track girlfriend wake,msichana alipo gundua anafutiliwa katika mawasiliano waliachana!
2.kuna msichana alim-track boyfriend wake,alipo pata alichotaka alifeli mitihini yake kwa mawazo!
Warning:
Nita kusaidia ila "AT YOUR OWN RISK",...:israel:
Pressure ya nini
kabla wewe hujatafuta njia ya kumkamata yeye ana njia ya kujinasua
afadhali kije chenyewe sio cha kujitakiaEndelea ku relax lakini kama ni kifo kitakufata tu whether una relax au unachakarika.
ya sitaki hata kusikia maswala ya kufatiliana kabisa, endelea kumsaidia tu boss spika kwa hao wenye wivu mie sitaki wivu!!!Jamani Lady N nitamwambia Boss Speaker akupatie tu stress but hutakufa... mi assistant wake....