Unaibiwa?? chukua dawa

Unaibiwa?? chukua dawa

Mi naona tuwakaribishe waandaaji wa kipindi cha luninga cha CHEATERZ wafanye kazi naaba wateja wako wengi na hawajui wapi watapata huduma
 
Mi naona tuwakaribishe waandaaji wa kipindi cha luninga cha CHEATERZ wafanye kazi naaba wateja wako wengi na hawajui wapi watapata huduma

Asante mteja to be... Tutalifanyia kazi as soon as Bill Gates Leaves the country....
 
Lakini mtaalamu speaker nadhani kafafanua kuwa si mpaka iwe ni simu ya bei mbaya, tusubili ufafanuzi wake. But my suggestion ili huweze kumbadilishia mtu simu lazima hiyo mpya iwe quality kuliko ya zamani.
 
Noted... Sijui kuna nafasi ya ujumbe.... I wonder...
 
<br />
<br />
Poa nitaku PM
Dada mi naomba nikuulize.. Unataka kuachana na huyo wako mwandani? Kama jibu ni ndiyo, then PM speaker, otherwise-we chill tu. Sio mpango kufuatiliana. Lazima uonyeshe kujiamini, yaani hata simu yake ikiita sebuleni na yeye yuko chumbani, unampelekea then unarudi zako sebulen. Mwisho wa siku atakuja kutambua kwamba "yote ni ubatili mtupu".
 
Utamlindaje mtu mzima kama mtoto bwana?Cheater wa ukweli ni ngumu sana kumkamata maana hata simu anakua nayo ya siri!Msijitakie presha zisizo za lazima bwana!!
 
Utamlindaje mtu mzima kama mtoto bwana?Cheater wa ukweli ni ngumu sana kumkamata maana hata simu anakua nayo ya siri!Msijitakie presha zisizo za lazima bwana!!

Tena real cheaters wana chip zaidi ya moja zile zenye mambo yao wanaziita kimeo!!!
 
Kama hauna imani na mwenzi wako,..
hauamini kama kila simu anayo pokea sio ya vimada au vidumu,...

unaweza kuondoa hofu hiyo,kwa kumfuatilia kisiri siri katika mawasiliano
yake yote!
Akipigiwa simu,na wewe utasikia maneno yote (kwenye simu yako)!
Kila sms atakayo pokea utaipata pia (kwenye simu yako)!

Nitafute,nipe namba yako ya simu,nikupe ujanja huo!

Note:
1.Rafiki yangu ali m-track girlfriend wake,msichana alipo gundua anafutiliwa katika mawasiliano waliachana!
2.kuna msichana alim-track boyfriend wake,alipo pata alichotaka alifeli mitihini yake kwa mawazo!

Warning:
Nita kusaidia ila "AT YOUR OWN RISK",...:israel:

Mimi naomba hiyo software nikiku-pm ila sitakupatia namba yangu! Kama NI LAZIMA nikupatie namba basi kwa heri!
 
Pressure ya nini
kabla wewe hujatafuta njia ya kumkamata yeye ana njia ya kujinasua

Pressure ya nini
kabla wewe hujatafuta njia ya kumkamata yeye ana njia ya kujinasua

Utaalam wetu ndo tunautumia hapa, hawezi jua kua anafuatiliwa mana kazi ni ya hali ya juu... sasa BW unahitaji form???
 
Watu pressure inapanda! Mtambo unaweza kutrace handset si chip tu. So hata kama una line kumi, haisaidii
 
Endelea ku relax lakini kama ni kifo kitakufata tu whether una relax au unachakarika.
afadhali kije chenyewe sio cha kujitakia
Jamani Lady N nitamwambia Boss Speaker akupatie tu stress but hutakufa... mi assistant wake....
ya sitaki hata kusikia maswala ya kufatiliana kabisa, endelea kumsaidia tu boss spika kwa hao wenye wivu mie sitaki wivu!!!
 
Back
Top Bottom