Unaidhinisha zaidi ya Bilioni 30 kukarabati uwanja alafu haufuatilii unaendelea na shughuli zako.Huyo ndiye Mgombea anayeomba kurudi ikulu

Kwani zimepigwa
 
Nyumbu Wana shida aisee, muda wote wanafikiria kulaumu tu hata pale wanapokosa taarifa za kutosha Bado wao watakimbilia jf kulaumu na kutafuta wafuasi (of course mamburura) wa kuwaaminisha hivyo vijisababu vya kulaumu kwao.
 
Kwenye hili wenyewe wanasema "mama" hausiki. Hili ni la wasaidizi wake. "Mama" yeye anahusika kwenye mafanikio tu.
 
Unachaguliwa wewe kwa kura halafu wasaidizi ndio wasimamie..hao wasaidizi nani anawasimamia? Waliopiga kura kukuchagua wawaulize wasaidizi..? Mbona kuomba kura hawaji wasaidizi kukuombea kura..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…