Unaidhinisha zaidi ya Bilioni 30 kukarabati uwanja alafu haufuatilii unaendelea na shughuli zako.Huyo ndiye Mgombea anayeomba kurudi ikulu

Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma!

Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na kuuza mazao yao.

Pesa hiyo inapatikana, Kiongozi anaidhinisha itumike kukarabati Uwanja wa taifa, Kisha anakwea ndege huyoooo anaenda kula bata na kuzunguka UK.

Swali fikirishi; Ingekuwa fedha hizo umetafuta kwa jasho lako na umeamua kujenga nyumba yako, Ungewalipa mafundi na kuondoka zako! Jibu ni HAPANA. Lazima ungesimamia ujenzi mwanzo mwisho na kujibana kuhakikisha hakuna senti inapotea! Ila kwakuwa ni kazi ya umma wa watanzania, Hakuna anayejali.

Huo ni mfano kwa mradi huu mmoja wa pesa nyingi kiasi, vipi kuhusu hiyo miradi mingine mikubwa??

MUNGU IBARIKI AFRIKA
Kwani zimepigwa
 
Nyumbu Wana shida aisee, muda wote wanafikiria kulaumu tu hata pale wanapokosa taarifa za kutosha Bado wao watakimbilia jf kulaumu na kutafuta wafuasi (of course mamburura) wa kuwaaminisha hivyo vijisababu vya kulaumu kwao.
 
Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma!

Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na kuuza mazao yao.

Pesa hiyo inapatikana, Kiongozi anaidhinisha itumike kukarabati Uwanja wa taifa, Kisha anakwea ndege huyoooo anaenda kula bata na kuzunguka UK.

Swali fikirishi; Ingekuwa fedha hizo umetafuta kwa jasho lako na umeamua kujenga nyumba yako, Ungewalipa mafundi na kuondoka zako! Jibu ni HAPANA. Lazima ungesimamia ujenzi mwanzo mwisho na kujibana kuhakikisha hakuna senti inapotea! Ila kwakuwa ni kazi ya umma wa watanzania, Hakuna anayejali.

Huo ni mfano kwa mradi huu mmoja wa pesa nyingi kiasi, vipi kuhusu hiyo miradi mingine mikubwa??

MUNGU IBARIKI AFRIKA
Kwenye hili wenyewe wanasema "mama" hausiki. Hili ni la wasaidizi wake. "Mama" yeye anahusika kwenye mafanikio tu.
 
YAANI UJINGA MWINGINE NI MZIGO HUMO KICHWANI BORA UNGEKUWA NA KINYESI KULIKO HIYO AKILI ULIYONAYO HIVI HATA UNGEKUWA WEWE NCHI YOTE HII MIRADI YOTE HII UNAWEZA KUSIMAMIA PEKE YAKO ? NDIYO MAANA YA KUWA NA WASAIDIZI ANAOWAAMBINI ACHA UJINGA WEWEU RAIS NI TAASISI SIYO YA MTU MMOJA
Unachaguliwa wewe kwa kura halafu wasaidizi ndio wasimamie..hao wasaidizi nani anawasimamia? Waliopiga kura kukuchagua wawaulize wasaidizi..? Mbona kuomba kura hawaji wasaidizi kukuombea kura..?
 
Back
Top Bottom