UNAIDS: Maambukizi ya UKIMWI yanaweza kuongezeka mara 6 kufikia mwaka 2029

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Hivi si tuliambiwa kuwa ARV ziko za kutosha?

Na kwamba tusihofu Marekani kusitisha misaada kwa sababu serikali ina ARV zinazotosha? Sasa inakuaje tunapewa onyo kuwa maambukizi ya UKIMWI yataongezeka?

Au ndo yaleyale tuliambiwa Rais yuko fit alafu baada ya siku kadhaa tukatangaziwa msiba wa taifa?

=========================================================

Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kukabiliana na Ukimwi (UNAIDS), Winnie Byanyima, ameonya kuwa idadi ya maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI (HIV) huenda ikaongezeka mara sita zaidi ifikapo mwaka 2029, endapo Marekani itasitisha ufadhili wake kwa mpango wa kukabiliana na ugonjwa huo.

Byanyima amesema kuwa kusitishwa kwa msaada huo kunaweza kusababisha vifo vya mamilioni ya watu, pamoja na uwezekano wa kuibuka kwa aina mpya na sugu ya virusi vya HIV.

Soma pia: Wizara ya Afya: ARV zipo za kutosha

Katika mahojiano na Shirika la Habari la AP, akiwa nchini Uganda, Byanyima amesema kuwa, licha ya kupungua kwa maambukizi katika miaka ya hivi karibuni, hatua yoyote ya kusitisha msaada wa kimataifa inaweza kurudisha nyuma mafanikio hayo.

Mwaka 2023, maambukizi mapya ya HIV yalirekodiwa kuwa milioni 1.3- punguzo la 60% tangu kiwango cha juu zaidi kiliporekodiwa mwaka 1995. Hata hivyo, Byanyima ameonya kuwa, endapo msaada wa Marekani utasitishwa, ifikapo 2029, dunia inaweza kushuhudia maambukizi mapya milioni 8.7, vifo vinavyohusiana na UKIMWI milioni 6.3, na watoto yatima milioni 3.4

Pia soma: Pre GE2025 - Uhuru wa Habari: Gazeti la Nipashe Februari 8 kuhusu ARV kuanza kuuzwa halikufika mtaani, kama walikuwa na ushahidi shida ilikuwa wapi?

Tishio hilo linatokana na tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump, kwamba Marekani itasitisha misaada yote ya kigeni ndani ya siku 90. Hatua hii imeibua wasiwasi mkubwa, kwani Marekani ni mfadhili mkuu wa mipango ya afya duniani, ikiwemo PEPFAR- mpango wa dharura wa Rais wa Marekani wa kukabiliana na UKIMWI.

vvu.png
 
Hao shida ni ulaji wao kitumbua kumeingiliwa na mchanga, hamana huruma wowote na wananchi.
 
Watu wenye changamoto za AIDS ni wakati wakuwa na uzi maalum (Special Thread) ili kujadili changamoto na namna ya kukabiliana na hivi vikwazo vya USAID.
 
Yaani ninachowaza juu ya HIV/AIDS kwa nchi za kiafrika uwezo wao kuwahudumia wangonjwa maana huduma za kawaida zilishawashinda mahospitalini!
 
Wakuu,

Hivi si tuliambiwa kuwa ARV ziko za kutosha?

Na kwamba tusihofu Marekani kusitisha misaada kwa sababu serikali ina ARV zinazotosha? Sasa inakuaje tunapewa onyo kuwa maambukizi ya UKIMWI yataongezeka?

Au ndo yaleyale tuliambiwa Rais yuko fit alafu baada ya siku kadhaa tukatangaziwa msiba wa taifa?

=========================================================

Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kukabiliana na Ukimwi (UNAIDS), Winnie Byanyima, ameonya kuwa idadi ya maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI (HIV) huenda ikaongezeka mara sita zaidi ifikapo mwaka 2029, endapo Marekani itasitisha ufadhili wake kwa mpango wa kukabiliana na ugonjwa huo.

Byanyima amesema kuwa kusitishwa kwa msaada huo kunaweza kusababisha vifo vya mamilioni ya watu, pamoja na uwezekano wa kuibuka kwa aina mpya na sugu ya virusi vya HIV.

Soma pia: Wizara ya Afya: ARV zipo za kutosha

Katika mahojiano na Shirika la Habari la AP, akiwa nchini Uganda, Byanyima amesema kuwa, licha ya kupungua kwa maambukizi katika miaka ya hivi karibuni, hatua yoyote ya kusitisha msaada wa kimataifa inaweza kurudisha nyuma mafanikio hayo.

Mwaka 2023, maambukizi mapya ya HIV yalirekodiwa kuwa milioni 1.3- punguzo la 60% tangu kiwango cha juu zaidi kiliporekodiwa mwaka 1995. Hata hivyo, Byanyima ameonya kuwa, endapo msaada wa Marekani utasitishwa, ifikapo 2029, dunia inaweza kushuhudia maambukizi mapya milioni 8.7, vifo vinavyohusiana na UKIMWI milioni 6.3, na watoto yatima milioni 3.4

Tishio hilo linatokana na tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump, kwamba Marekani itasitisha misaada yote ya kigeni ndani ya siku 90. Hatua hii imeibua wasiwasi mkubwa, kwani Marekani ni mfadhili mkuu wa mipango ya afya duniani, ikiwemo PEPFAR- mpango wa dharura wa Rais wa Marekani wa kukabiliana na UKIMWI.

Naked truth
 
Hivi TZGOV ikiamua itashindwa kweli kutenga fungu kwa ajili ya hizo dawa !!?? Mambo mengine I feel yako ndani ya uwezo wetu !!
 
Hivi umoja wa Makobasi hawawezi kutusaidia?
 
Ina maana bila Marekani hatuishi, what a shame
 
Serikali yetu itenge hata 5% fedha itakayokusanywa katika mwaka wa fedha 2024/2025 kwaajili ya kuwasaidia watu walioathirika na UKIMWI.
 
Ila watu wakiokoka(wakitubu dhambi ya uzinzi na kumwamini Yesu), maambukizi ya UKIMWI yatapungua kwa 99%
 
Back
Top Bottom