Unaifahamu kampuni yoyote inayofanya door to door marketing?

Unaifahamu kampuni yoyote inayofanya door to door marketing?

Yusuph Lucas

New Member
Joined
May 13, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Habari za majukumu?

Naomba mtu yeyote anisaidie details za kampuni zinazofanya door to door marketing.
(Maarufu kama watu wa promotion, na wanauza bidhaa mchanganyiko kama vile vipodozi, sabuni, vyombo n.k kwa kuvitembeza mtaani)

Nahitaji kupata details zifuatazo
1. Jina la kampuni
2. Mahali unapopatikana
3. Mawasiliano yao (Kama itawezekana)
 
Habari za majukumu?

Naomba mtu yeyote anisaidie details za kampuni zinazofanya door to door marketing.

Nahitaji kupata details zifuatazo
1. Jina la kampuni
2. Mahali unapopatikana
3. Mawasiliano yao (Kama itawezekana)
Mkuu, kampuni zote huwa zinafanya door to door marketing il hazigongi kila mlango?Je unataka kampuni inayotoa huduma hio kwa kampuni nyingine?
 
Kama una kampun yako unataka watu wa kazi hiyo..kachukue waha tu..
 
Back
Top Bottom