Unaifahamu vipi CocaCola?

Huu ni uzushi tu.

Sasa kama ni wawili tu wanaojua, hawa wa hapa nyerere road wanatumia compounds zip kuipata coca??? Na wakati hawajui??? Au inashushwa na ndege na kujazwa ktk vyupa???
wanatumiwa raw materials/ chemicals zinazohitajika. wao wanachanganya tuu kama walivoelekezwa
 
Watu wa maabara wa hivi Viwanda au Makampuni hutumia mchanganyiko Huo kwa taratibu na viwango vilivyowekwa na Coca-Cola na si vinginevyo

Mkuu sijui kama viwanda vyote vinaheshimu taratibu na viwango vilivyo wekwa na CocaCola, jaribu kununua CocaCola kutoka Supermarkets za Ulaya njoo nayo Tanzania (au nunua Tanzania CocaCola za nje zilizo jazwa kwenye chupa za plastic), nunua CocaCola kutoka Viwanda vya Ndola Zambia sasa linganisha taste zake utaona zina ladha tofauti kabisa.
 

Unachosema ni kweli kabisa.

Coca-Cola za Atlanta ni tofauti kabisa na Coke za Bonite bottlers.

Hata Fanta orange za bongo ziko tofauti na zilizopo huko zilipoanzia.

Huenda labda hao bottlers huwa wana leeway flani kuendana na soko wanalohudumia.
 
Nahisi labda n aina za maji coz hata coca ya bonitte n tofaut kidogo na ya coca kwanza.
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Huyu jamaa ni noma sana
 
Unachosema ni kweli kabisa.

Coca-Cola za Atlanta ni tofauti kabisa na Coke za Bonite bottlers.

Hata Fanta orange za bongo ziko tofauti na zilizopo huko zilipoanzia.

Huenda labda hao bottlers huwa wana leeway flani kuendana na soko wanalohudumia.
ninavyofahamu ni kwamba ingredients ni zile zile ila tofauti ya ladha inatokana na maji ya sehemu inapochanganyiwa, so hakuna siri inayolindwa ambayo ni kubwa kama inavyo aminika, kilichopo ni hati miliki ambayo ina sheria kali kwa yeyote atakae copy formular yao, ila ni fikra zangu tu...[emoji3]
 
That's my The bold,Google yangu mimi.
Naachaje kukupenda sasa?
Am proud of you bae....
Yesssss
[HASHTAG]#TheBoldIsMine[/HASHTAG]
 

Zingine huwa zina sukari nyingi zaidi.

Nasema hivyo kwa sababu Coke za bongo ni tamu zaidi kuliko Coke za ATL.

Hata Fanta Orange za bongo ni tamu zaidi kuliko Fanta Orange za ATL.

Sasa sidhani kama maji ndo huongeza huo utamu.

Nadhani ni sukari.
 

Bado hii kitu inapipa wakati mgumu kuielewa - yaani chemical analyser zenye latest technology zishindwe kujua ingredients zilizo changanywa kwenye soda ya CocaCola? Kisayansi ukichukua mls fulani utajua kiwanga cha single ingredient per ml wala hilo si kazi kubwa - unless wakisema labda concentrates hizo uhifadhiwa darini zikiwa kwenye barrels maalum zilizo tengenezwa kwa mbao, stainless steel au Aluminium zinabaki huko kwa miaka minne at a controlled temperature kama Whiskey na Wine hapo naweza kuwaelewa - hiyo ndiyo siri ambayo si raisi kuijua, lakini linapo kuja saula la ingredients hilo ni raisi kuli crack na concentration ya every single ingredient per mole itajulikana tu - kazi hiyo mpe Dk.Magufuli kama hatakupa majibu in no time.
 
Coca-Cola ni kinywaji ambacho sio rafiki kabisa kwa afya zetu,hii sio siri tena.Wanaoendelea kunywa Coca-Cola,Pepsi na vinywaji vinavyofanana na hivyo ni wale wasiojua contents zake au wenye msimamo wa kwamba inzi kufia kwenye kidonda ni sawa.

Kama unataka kujua contents za Coca-Cola tafadhali google hapa,"What chemicals are really in Coca-Cola's Coke Soda.?"
 
Zingine huwa zina sukari nyingi zaidi.

Nasema hivyo kwa sababu Coke za bongo ni tamu zaidi kuliko Coke za ATL.

Hata Fanta Orange za bongo ni tamu zaidi kuliko Fanta Orange za ATL.

Sasa sidhani kama maji ndo huongeza huo utamu.

Nadhani ni sukari.

Mkuu hilo ndilo tatizo kubwa la CocaCola za hapa Tanzania, mwanzo nilifikiri hawa watu wanatuima Super Sugar na si industrial Sugar au wanataka ku maximise profit kwa kuweka kiwango kidogo cha CocaCola concentrates na kuongeza sukari lukuki ili wazalishe idadi kubwa ya crate za soda per shift!!

Yaani owners wa CocaCola wakitoka Atlanta na kufanya ziara ya kushtukiza kwenye viwanda vya Coca hapa nchini baadhi yao watavifungilia mbali au kuwanyima franchise - vinafanya usanii sana.
 

Hadithi za alinacha hizi..!
 
Zingine huwa zina sukari nyingi zaidi.

Nasema hivyo kwa sababu Coke za bongo ni tamu zaidi kuliko Coke za ATL.

Hata Fanta Orange za bongo ni tamu zaidi kuliko Fanta Orange za ATL.

Sasa sidhani kama maji ndo huongeza huo utamu.

Nadhani ni sukari.
mkuu, jaribu kufikiria hata hapa kwetu ukinywa maji ya mkoa fulani halafu ukaenda kunywa ya mkoa mwingine, utahisi tofauti. sasa kwenye chemical reaction hiyo ni zaidi nafikiri, katika reaction ya chemical drop moja tu hutoa majibu tofauti kabisa. kama nimekosea naomba kurekebishwa..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…