Unaifahamu vipi CocaCola?

that was my point !! but then you cant employ some one who doesnt know about chemical reaction, especially kuhusu afya ya binadamu[emoji3]
 
Coca au fanta ya nje aka marikani ukiifungua tuu utahisi kiarufu flani ivi cha kuvutiia izi za bongo full magesi
 
nakuelewa mkuu, ila piga sayansi ujuavyo lazima kutakuwa na tofauti, kinachokubalika ni safety ya mtumiaji tu, tofauti ya mazingira haikwepeki mkuu, ni fikra zangu tu, karibu kunirekebisha mkuu.
 
Mkuu kinachofanya taste (ladha) kubadilika au kuwa tofauti ni hii kitu inayoitwa carbonated water pekee hakuna uchawi mwingine
 
Adolph japo mimi ndio mwanzilishi ila nipo makini kuzijua hizo siri ila dah naona kama majibu yanafanana
Ila ukweli yawezekana unafahamika mbona hivi sasa ladha ya PEPSI ni kama ya coca.....ila mimi neno COCA ninavyofahamu ni lile zao linalozalisha COCAINE yaani madawa ya kulevya na kuna kipindi hayo madawa yalipatikana kwenye kiwanda kimoja cha hizo soda ila sijui hilo sakata liliishia wapi.!!!
 
Kitu cha maajabu... ingawa PEPSI NA COCA COLA ni washindani wakubwa but iliwai kutokea miaka zamani kuna watu walitaka kuwauzia PEPSI formula hii (secret recipe) but PEPSI walikataa na waliwaripoti kwa COCA COLA
 

Hata kujua exact formula mimi nadhani inawezekana kabisa ila sema hata mtu ukiipatia watu wa Coke corporate wanaweza wakakubishia ili tu kuilinda bidhaa yao.

Ndo maana naamini kuwa wala hakuna siri kubwa. Bali kilichopo ni mystique tu.
 
Tafauti ni Maji na sukari inayo changanywa na syrup ya Coca-Cola mfano ladha ya Maji ya Moshi ni tafauti na ya Dar. ndio hapo unaweza u kakuta Coca-Cola ya eneo fulani nitamu sana au ina ladha ya chumvi nk.
Ni kweli kabisa mkuu. Kuna vitu kama sensory evaluation analysis na customer preferences. Population tofauti zina uwezo tofauti wa ku-percieve na ku-judge stimulus kutokana na factor mbalimbali kama vile mazingira ,jinsia au hata umri.
Hivyo basi tofauti ya ladha huwa inategemea na mzalishaji analenga kundi gani la watu au jamii ipi ya watu.
Nikupe mfano rahisi, asilimia kubwa ya watu wa dar wanapendelea maji ya kilimanjaro lakini ukichukua maji hayo hayo na kumpa mkazi wa mbeya atasema hayana ladha nzuri na atapendelea maji rungwe au dew drop, huo ni mfano rahisi tu. Its all about customer satisfaction na market targeting mkuu.
 
hao wanapewa unga tu wa kuchanganya na maji na kufanya packaging kila kitu ni u.s.a.

Umemjibu vzr sana. Material yote ni USA then huku mnachanganya na ku package mnauza.
 

Ulichosema ndo nami nakiamini na ndo maana nikasema hapo awali kuwa yawezekana kabisa Coke corporate office wanajua uwepo wa ladha tofauti tofauti wa bidhaa zake kutegemea na maeneo.

Uwezekano wa hizo tofauti ndogo ndogo kuwa by design ni mkubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…