Ni kweli kabisa mkuu. Kuna vitu kama sensory evaluation analysis na customer preferences. Population tofauti zina uwezo tofauti wa ku-percieve na ku-judge stimulus kutokana na factor mbalimbali kama vile mazingira ,jinsia au hata umri.
Hivyo basi tofauti ya ladha huwa inategemea na mzalishaji analenga kundi gani la watu au jamii ipi ya watu.
Nikupe mfano rahisi, asilimia kubwa ya watu wa dar wanapendelea maji ya kilimanjaro lakini ukichukua maji hayo hayo na kumpa mkazi wa mbeya atasema hayana ladha nzuri na atapendelea maji rungwe au dew drop, huo ni mfano rahisi tu. Its all about customer satisfaction na market targeting mkuu.