Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 979
- 277
Habar wakuu,
Kila nikikaa huwa nazikumbuka sana shule nilizosoma mojawapo ni Pugu sec school,iliyoko jijin Dar ila nje kidogo baada ya kupita Jk Nyerere airport na pia Gongo la mboto,
nilifanikiwa kusoma pale miaka 4 miaka ya 20- ,wanafunzi walijaribu kutoka virefu vya neno PUGU km ifuatavyo;
1.People Usually Go Universities,
2.Piga Ua Gongolamboto Utapita
3. Pata Ujuzi Gawia Uma, n.k
Nakumbuka pia mabweni ya Pugu amboyo ni
1.Maendeleo
2.Umoja
3.Ujamaa
4.Azimio na
5.Mapinduzi.
Mi nilifanikiwa kukaa Mapinduzi no.2 miaka yote 4,bweni ambalo lilikua likiaminika kuishi wakorofi toka zamani!, ila nashukuru Mungu sikuwahi kuonewa sababu nilikua najiamin sana na pia nilikua karibu na mabroo km JAMES GULAKA, JANUARY RASHIDI,EDIGAR NINGA, ERICK MAGANZA na wengine wengi.
Kwa kwel mazingira ya Pugu ntayamis sana km vile kuoga nje,kushuka visiman{pond} kufua nguo,fangas, mengine mtakumbuka nyie wadau!
Kuna mengi sana nikiandika yatajaza kitabu,
eti baada ya kufua nguo znakua km zina rangi ya kutu!,
Pia badala ya kwenda rokoo eti wanafunzi wanakimbilia porini.
Kama wewe ni mdau Tiririka hapa!,karibu