Unaifahamuje pugu boyz' sec/high school?

Unaifahamuje pugu boyz' sec/high school?

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
979
Reaction score
277
Habar wakuu,
Kila nikikaa huwa nazikumbuka sana shule nilizosoma mojawapo ni Pugu sec school,iliyoko jijin Dar ila nje kidogo baada ya kupita Jk Nyerere airport na pia Gongo la mboto,
nilifanikiwa kusoma pale miaka 4 miaka ya 20- ,wanafunzi walijaribu kutoka virefu vya neno PUGU km ifuatavyo;
1.People Usually Go Universities,
2.Piga Ua Gongolamboto Utapita
3. Pata Ujuzi Gawia Uma, n.k
Nakumbuka pia mabweni ya Pugu amboyo ni
1.Maendeleo
2.Umoja
3.Ujamaa
4.Azimio na
5.Mapinduzi.
Mi nilifanikiwa kukaa Mapinduzi no.2 miaka yote 4,bweni ambalo lilikua likiaminika kuishi wakorofi toka zamani!, ila nashukuru Mungu sikuwahi kuonewa sababu nilikua najiamin sana na pia nilikua karibu na mabroo km JAMES GULAKA, JANUARY RASHIDI,EDIGAR NINGA, ERICK MAGANZA na wengine wengi.
Kwa kwel mazingira ya Pugu ntayamis sana km vile kuoga nje,kushuka visiman{pond} kufua nguo,fangas, mengine mtakumbuka nyie wadau!
Kuna mengi sana nikiandika yatajaza kitabu,
eti baada ya kufua nguo znakua km zina rangi ya kutu!,
Pia badala ya kwenda rokoo eti wanafunzi wanakimbilia porini.
Kama wewe ni mdau Tiririka hapa!,karibu
 
Du Pugu yetu, mimi nilikuwa pale miaka ya 1996-1999 nawakumbuka wauza chai za jioni mama Juma na wengine, Babu muuza samaki jina nimemsahau. nzoa, mama wa biology, nakumbuka pia mechi ya Man na Bayarn tulitoroka wengi shule.
anywhy shule sasa imechakaa, imevamiwa na wahuni na kuipola ardhi

s
 
Mi ni mapnduz 2.
2009 nakumbuka kua aslimia 80% ya wanamapnduz walikua hawaendi asemble sku zngne ila jtatu lazma kwnda kumskilza sherimo.
 
hapo namba moja(1) SASA HIVII HAPO PUGUU HAMNA KITU KAbisa ni pakawaida sanáa
 
Mi ni mapnduz 2.
2009 nakumbuka kua aslimia 80% ya wanamapnduz walikua hawaendi asemble sku zngne ila jtatu lazma kwnda kumskilza sherimo.

Hahahah..Speech za Shelimo zilikuwa noma. Mi nlikuwa Azimio 2 pale..2006-2009
 
daah wadau mi mkongwe toka 2002-2008 nakumbuka mwaka 2003 tuliandamana toka pugu mpaka w/elimu ilikuwa ni baada ya majambazi kuvamia shule wakamwua mwanafunzi mmoja aliyekuwa f6 (tedson masatu) Mungu amrehemu. Mkuu wa shule mr. Magambo akahamishwa tukakaa mwaka mmoja bila mkuu marehemu mwl. Mnzava (Mungu amrehemu) aliyekuwa second master ndo alikaimu...
Mabagala, nzohi, ogesa, nampanda, shile, juma wasiwasi, magali,
walimu mashuhuri waliokuwepo
 
hahaaaa kitu cha DOCEBITVOSOMNIA!!! hatareeeeee mapinduz 5 langu bweni 2005 to 2008...
 
Wapi wazee wa kufement{kudabo} wali mchana then anakula jiona na kesho yake asubuhi .wape wazee wa kudabo makande kwa ajil ya chai? Wapi wababe wa kugombania matunda DH?Pugu yetu naipenda pugu yetu.wap mwalimu senga?
 
Mi ni mapnduz 2.
2009 nakumbuka kua aslimia 80% ya wanamapnduz walikua hawaendi asemble sku zngne ila jtatu lazma kwnda kumskilza sherimo.

map2 09!,we co dogo bony kwel!,wapi kina masumbuko?,msongola,mura!
 
daah wadau mi mkongwe toka 2002-2008 nakumbuka mwaka 2003 tuliandamana toka pugu mpaka w/elimu ilikuwa ni baada ya majambazi kuvamia shule wakamwua mwanafunzi mmoja aliyekuwa f6 (tedson masatu) Mungu amrehemu. Mkuu wa shule mr. Magambo akahamishwa tukakaa mwaka mmoja bila mkuu marehemu mwl. Mnzava (Mungu amrehemu) aliyekuwa second master ndo alikaimu...
Mabagala, nzohi, ogesa, nampanda, shile, juma wasiwasi, magali,
walimu mashuhuri waliokuwepo

Oi oi nimekupa mkuu,mi nliingia pale 04 afta mgomo! Saiv Magali ni mkuu wa shule ya kata,
 
Wapi wazee wa kufement{kudabo} wali mchana then anakula jiona na kesho yake asubuhi .wape wazee wa kudabo makande kwa ajil ya chai? Wapi wababe wa kugombania matunda DH?Pugu yetu naipenda pugu yetu.wap mwalimu senga?

ah kudadek af mbna we ulkua mtaalam wa kudabolyse af ulikua tebolida vle!, Mwal senga alkua kchekesho!
 
nakumbuka walimu hasa wa kike walikua wakiingia darasani wanatukuta vifua wazi, basi hapo hafundishi mpaka mvae mashati, ebwana nakumbuka maendeleo 2, na watoto wa taasisi 1999-2002
 
Wataalamu wa kwenda beto{choon} unavua shart unaacha nje ikiwezeka na bukuta unavua kabsa ndo unazama ndan uktoka unanuka mbaya
 
Wataalamu wa kwenda beto{choon} unavua shart unaacha nje ikiwezeka na bukuta unavua kabsa ndo unazama ndan uktoka unanuka mbaya

we dogo hufai!,had huku umefika! Umetisha kjana wangu!@mathew apa!
 
Back
Top Bottom