Unaijua Simba? Mnyama…

xxtycoon

Member
Joined
Jan 3, 2023
Posts
33
Reaction score
67
Ifike muda tukubali kuwa Simba SC ni timu kongwe na bora ila wale wengine ni timu kongwe.

Sasa cha kushangaza leo kwenye pita pita zangu nimeona kuna kampuni ya kubet imeipa odds 20 kama Simba SC watashinda mechi ya leo!

Naombeni mnisaidie kuitaja nimesahau jina!
 
Kama unajiamini Weka pesa ya mtaji iongezeke mara 20.
 
Hela hizo changamkia
 
Kampun gani hiyo niweke hela ya kodi
 
Kongwe na Bora iwe kwa vitendo na siyo kwa maneno matupu.
 
Kama kweli simba ni mnyama, basi leo jioni lazima atachinjwa tu, na kuliwa nyama na Waarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…