Unaikumbuka Barcelona ya Frank Rijkaard?

Ile mechi barca ndio aliopigwa nne. Gaucho japo alifunga bao zuri ila kipigo kipo pale pale. Sasa messi hakufunga goli ila aliitoa chelsea na kwenda final kuchukua kombe.

Exactly Mkuu!!! Yeah barca alipigwa 4. Na King messi ndie aliitoa chelsea na kuipeleka tim yake final and then ikabeba ndoo.
 
All
alibebwa..akasababisha drogba kutaka kumdunda refa..akafungiwa..baadae xavi alikuri kushika ndani ya 18..ila mungu mkubwa 2012 barce wakatolewa peupe huku wakionekana kukosa mbinu

Sasa kama xavi alikiri kushika ndani ya 18 hayo ni makosa ya refa sio kubebwa. Ukweli ni kwamba makosa yanatokea sana hasa kwenye mashindo ya uefa kila msimu lazima timu angalau moja itolewe kwa uzembe wa refa. Msimu uliopita bayern katolewa kwa magoli ya offside na red card hawakulalamika wala kumpiga refa. Kabla ya hapo atletico alikosa ubingwa kwa goli la offside la ramos. Tatizo la chelsea bado wana mentality ya team ndogo refa akikosea wanasema anabeba. Huwezi kusikia timu kubwa kama barca, real, bayern wakisema refa anabeba. Hata guardiola alisema ni aibu kuona timu kubwa zinalalamikia refa
 
ile mechi ya Chelsea na barce haikuwa makosa ya kibinaadam..rais wa uefs platini kabla ya mechi alisema asingependa fainali ijirudie..yaani fainali ya man u na Chelsea..kisha tukaona maamuzi ya kijinga uwanjani..Barcelona wakishika Mara tatu ndani ya 18 na hakuna penati
 
Pole sana!
 
Mkuu Barcelona ya "Romario na Hristo Stoiczkow" ilikua mziki mwingine.
 
Arsenal ile iliyo pigwa nne na messi mwenyewe

Ilipigwa hadi walichanganyikiwa. Messi sio wa sport sport bwana. Atakudhalilisha mpaka basi, hata awe beki wa namna gani atanyooka tu. Awaulize wakina NESTA, ROBERTO CARLOS, CANNAVARO N.K kilichowakuta,,,, KING is marvelous πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…