Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Fullback bora wa kushoto wa muda woteHiyo njemba fupi bana.. Roberto Carlos..!
Mara ya mwisho walipigwa wiki na sikuBrazil kwa mpira ni kama usa na vita
Hahhahaha Nlikua upande wa 2...familia nzima ilikua Brazil baasi nliwanyamazisha wote walikua wanataman hata kunimeza navyoshangilia[emoji12] [emoji12]Mara ya mwisho walipigwa wiki na siku
Ahhaaaa
Kufungwa mara moja moja hiyo kawaida, huwezi cheza mpira miaka yote ukashinda tuu, ipo siku uta droo au kufungwaMara ya mwisho walipigwa wiki na siku
Ahhaaaa