Unaikumbuka Brazil hii ya mwisho kubeba Kombe la Dunia?

Unaikumbuka Brazil hii ya mwisho kubeba Kombe la Dunia?

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Hii bi Brazil ya mwaka 2002, unakumbuka wachezaji gani kikosini? Ulikuwa wapi wapi wakati Captain Cafu akiinua ndoo ya ubingwa?
2002-world-cup-brazil-all-7-dvd-matches-ronaldo-rivaldo-5681.jpg
 
4 Roque Jr best defender ever nilikuwa napenda sana uchezaji wake,ni mpole asiekuwa na maneno mengi uwanjani.
 
Back
Top Bottom