BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
There hasn't been a king without a crown.[emoji16] [emoji16] [emoji16]
He can't get that crown.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tutamvika uking akiwa na crown
ila sasa atabaki kuwa mcheza bora wa muda mrefu
Kwenye bench wapo Denilson na Kleberson.
Nafikiri alijua tu kupiga chenga!Huyu Denilson sijui kilimpata nini hakufikia kabisa kiwango alichostahili licha ya kuwa na kipaji kikubwa
Alikuwa Bayer Leverkusen 2002 kabla ya kuhamia Beyern Munich. Alingara Sana mwaka huo walivyofika fainali UEFA champion league akiwa Na Michel ballack walipokutana Na real Madrid ya zidane Na Figo. Real Madrid iliibuka mshindi Na Lucio alichaguliwa timu ya Taifa Brazil chini ya kocha Scolari.Lucio beki ya Bayern Munich na Emerson...nimewakumbuka
Hao waturuki washenz walikata ndoto za Senegal Na AfricaNikikumbuka ile robo final na Uturuki namkumbuka Rivaldo Victor Borba' Ferreira.
Denilson ndiye alikuwa mchezaji ghali wakati huo. Alinunuliwa Na real betis dollar million 34Kwenye bench wapo Denilson na Kleberson.
Nimeamini kuna makinda humu kha!!Nilikua darasa la 5
Huyo Aliyeva jezi namba Sita alipiga Faulo akiwa katikati ya Uwanja Na ikazama ndani.Nadhani walicheza Na China.Miguu hiyo ilikuwa inanguvu sio mchezoHii bi Brazil ya mwaka 2002, unakumbuka wachezaji gani kikosini? Ulikuwa wapi wapi wakati Captain Cafu akiinua ndoo ya ubingwa?
Huyo ndiyo Ronaldo OriginalRonaldo de lima
Hizi timu zilitoka kundi mojaNikikumbuka ile robo final na Uturuki namkumbuka Rivaldo Victor Borba' Ferreira.