Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Brazil ilikuwa Brazil kweli Toka enzi hizo ,ukiongelea vipaji Halisi basi ilikuwa ni BrazilKiukweli wakuu tulipokua wadogo wengi tuliipenda Brazil ila ukikua ndio unabadilika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brazil ilikuwa Brazil kweli Toka enzi hizo ,ukiongelea vipaji Halisi basi ilikuwa ni BrazilKiukweli wakuu tulipokua wadogo wengi tuliipenda Brazil ila ukikua ndio unabadilika
Plus coach wao Big Philgangchomba where are you malaika wanashangilia wiki moja kabla ya mechi uwiiiii gaucho weeeeee au ndio ule uzao wa Abraham!
Hapana ilikuwa France ila France alishinda 2_1Huyo Aliyeva jezi namba Sita alipiga Faulo akiwa katikati ya Uwanja Na ikazama ndani.Nadhani walicheza Na China.Miguu hiyo ilikuwa inanguvu sio mchezo
Ronaldo De Lima mzee wa kazi, Ronaldinho Gaucho entertainer full raha.Hii bi Brazil ya mwaka 2002, unakumbuka wachezaji gani kikosini? Ulikuwa wapi wapi wakati Captain Cafu akiinua ndoo ya ubingwa?
![]()
Hapana ilikuwa France ila France alishinda 2_1
Ronaldo alimfanya kipa bora wa ujerumani over khan astaafu
Roquae JuniorRonaldo De Lima mzee wa kazi, Ronaldinho Gaucho entertainer full raha.
Hawa jamaa ni wachezaji wangu bora wa maisha.