Unaikumbuka kesi ya Zombe; watoto wa 2000 kaeni mbali kidogo

Unaikumbuka kesi ya Zombe; watoto wa 2000 kaeni mbali kidogo

Kuna nyingine ya polisi kumuua mfanyabiashara wa madini kule mtwara kipindi Cha Siro akiwa mkuu wa polisi naona Hadi Leo kimya.polisi ni majambazi na mabingwa wa kubambika KESI.
 
Kuna magazeti ya shigongo walipiga sana hela kipindi hicho ikiwemo kesi ya Ukiwaona Ditopile mzuzuri basi tu wakati ni ukuta huwezi kurudi nyuma R.I.P My mama😔🙏
 
Ingependez ungetupa n iyo y Sarah simbaulanga...
Ya simbaulanga Kuna story yake humu nashindwa kueka link ipo humu humu jf

Ila alikuwa manager if not supervisor kwenye foreign branch NBC bank na kukwapua usd traveller cheques equivalent to Tzs millions 500+ kwa kipindi hiko nadhani 1987-1989

Akiwa na jamaake Toroha, na kukimbilia Nairobi Kenya then mpk ulaya baadae walipatikana na kuamriwa warudishwe Nairobi Kenya then serikali ya Tz ikawachukue mpakani na kurudishwa Dsm Tz na kuanza kwa kesi yake Sarah
 
toroha ni muhuni sana
 
Mkuu shukrani kwa kutukumbusha lakini majina umekosea. Zombe jina lake la kwanza ni Abdalah, Christopher ni jina la mtuhumiwa mwingine anaitwa Christopher Bageni (nakumbuka kama huyu ndiye mtuhumiwa pekee aliyetiwa hatiani baada ya Serikali kukata rufaa). Pia majina ya wafanyabiashara sio sahihi. Nakumbuka kati ya watu wanne walikamtawa na hatimayr kuuawa kuna wawili walikuwa ni ndugu sikumbuki majina yao ya mwanzo lakini wote majina yao ya pili yalikuwa ni Chigumbi. Walikuwa na mwenzao mmoja halafu wa nne alikuwa ni dereva taxi aliyekuwa anawaendesha kwenye mizunguko yao.
shukrani uzee unachangia
 
Acha afie jela kabisa
Nishawahi kuwaga na msala naye
Pale obay alikuwa mpelelezi...alinipelekesha ikabidi ntumie mbinu mbadala nlimpandiaa juu akatulia
Alikuwa mshnz tu na anatamaa sana
Issue ya kina chigumbi nao dah,siku moja kabla hajakutwa na kifo nkikutana nao blok 41 kwenye ofisi moja wa wathailand tukasalimiana,walikuwa resi sana na wana moto maana kila mtu mpaka mabroker wanaokaa vijiweni walijuwa jamaa wamepiga helaa ndefu....
Mpaka zombe wakampelekea taarifa,ya kuwa kuna watu watamuuu wana hela

Ova
 
Back
Top Bottom