Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

MBITIYAZA

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Posts
14,947
Reaction score
26,074
Naikumbukaga sana nickname yangu jaman enzi hizo nipo form 3 nilianza kujiita YOUNG SINGLE n FREE!(Y.S.F)lilivuma sanaaaa! had kwenye daftar la teacher zwazwa unaandika tu sema masomo ya teacher mnoko huthubutuu ! lol
kaka yangu alikua akijiita MPUSH(akimaanisha msukuma) rip bro
dada yangu alikua akijiita ability heheheh nakumbuka wazaz hawakuwa wanayajua haya majina kbs !
tupia a.k.a yako enzi za shule
 
mimi DMCT yaan Dirty Mind Clean Thoughts... Kgm sec chata zimejaa bwenini, DH ,JIKONI na loundry... Kuna dogo mkulya alikua anajiita SERIKALI.. hata umpe adhabu vipi hafanyi duh..
 
Super engineer afu double engine uwanjani mambo ya ball nilikuwa napiga ball uku watoto wakali wakinishangilia usiniumizue nying
 
Me aka yanga fro Secondary inahitumia hadi sasa.. But sitaki kuhitaja hapa naogopa nitafahamika(ID) yangu
 
Me aka yanga from Secondary ninaitumia hadi sasa.. But sitaki kuitaja hapa naogopa nitafahamika(ID) yangu
 
Back
Top Bottom