Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

mungiki,,,,hapa ni baada ya kuwa nacheka sana nikisikia habari za mungiki kenya.

Mkuu wa nchi..hapa ni baada ya kuwashwishi fm 1-2-3 wamkatae kaka mkuu wa shule (alikuwa fm 6 mie fm 5) akanipa adhabu nikamuundia zengwe.

wakamtoa, wiki nzima nawanunulia maandazi jeshi langu kwa kufanikisha zoezi.yule HP hatukuwahi patana hata kidogo.
 
Mimi olevel walikuwa wananiita king nakumbuk ilitokanaga nilikuwa nadance sana ngoma ya jamaa flan mjamaika inaitwa king of dance km sikosei.sasa badala ya king of dance wakawa wananifupisha "king"
 
Mimi olevel walikuwa wananiita king nakumbuk ilitokanaga nilikuwa nadance sana ngoma ya jamaa flan mjamaika inaitwa king of dance km sikosei.sasa badala ya king of dance wakawa wananifupisha "king"

au diana king
 
Naikumbukaga sana nickname yangu jaman enzi hizo nipo form 3 nilianza kujiita YOUNG SINGLE n FREE!(Y.S.F)lilivuma sanaaaa! had kwenye daftar la teacher zwazwa unaandika tu sema masomo ya teacher mnoko huthubutuu ! lol
kaka yangu alikua akijiita MPUSH(akimaanisha msukuma) rip bro
dada yangu alikua akijiita ability heheheh nakumbuka wazaz hawakuwa wanayajua haya majina kbs !
tupia a.k.a yako enzi za shule
nike
 
Back
Top Bottom