Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bibie wewe walikuita nani vile?Ulikuwa na vituko mtoto wa form three unajiita single[emoji23] [emoji23]
Sijasoma sekondari babaBibie wewe walikuita nani vile?
Ulivushwa eeh maana naskia wewe ni kipanga hatari....Sijasoma sekondari baba
Rungwe secondary???Niliitwa GAUCHO
Bora leo nimekujua hahahahha wakojack Nzega hahahahhahahahaUlivushwa eeh maana naskia wewe ni kipanga hatari....
Mimi nilikuwa naitwa wakojaco nilikua nashake hatari sema kuna siku kwenye jointmass KO tumeenda nikaitwa jukwaani kushake kumbe kuna sehemu sakafu imekwaruka bwana kidogo nivunjike kiuno.... Toka siku hiyo
Twende bwawan tukafue mtu wangu maji yamekata shule hahhahahah mutoto ya ajayandiUlivushwa eeh maana naskia wewe ni kipanga hatari....
Mimi nilikuwa naitwa wakojaco nilikua nashake hatari sema kuna siku kwenye jointmass KO tumeenda nikaitwa jukwaani kushake kumbe kuna sehemu sakafu imekwaruka bwana kidogo nivunjike kiuno.... Toka siku hiyo
Wewe Demi huyo wakojaco wa nzega sidhani kama ni mimi.... Japo nzega nimepitaBora leo nimekujua hahahahha wakojack Nzega hahahahhahahaha
Mimi laiguanan wewe hiyo lugha siijui.Twende bwawan tukafue mtu wangu maji yamekata shule hahhahahah mutoto ya ajayandi
[emoji23] [emoji23] ulikuwa unaenda joint mass na wewe? Au joint mass ya disco?Ulivushwa eeh maana naskia wewe ni kipanga hatari....
Mimi nilikuwa naitwa wakojaco nilikua nashake hatari sema kuna siku kwenye jointmass KO tumeenda nikaitwa jukwaani kushake kumbe kuna sehemu sakafu imekwaruka bwana kidogo nivunjike kiuno.... Toka siku hiyo
Kiukweli sikumsahau Bwana niliziheshimu siku zake na kuzitkasa...[emoji23] [emoji23] ulikuwa unaenda joint mass na wewe? Au joint mass ya disco?