Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Mke ya headmaster watu waliamua kuniita hivyo kwakuwa mkuu kila akifka pared lazima aulize kama nipo watu wakasema mm mke wake why mkulu huwa anamushobokea
 
Ulivushwa eeh maana naskia wewe ni kipanga hatari....

Mimi nilikuwa naitwa wakojaco nilikua nashake hatari sema kuna siku kwenye jointmass KO tumeenda nikaitwa jukwaani kushake kumbe kuna sehemu sakafu imekwaruka bwana kidogo nivunjike kiuno.... Toka siku hiyo
Bora leo nimekujua hahahahha wakojack Nzega hahahahhahahaha
 
Ulivushwa eeh maana naskia wewe ni kipanga hatari....

Mimi nilikuwa naitwa wakojaco nilikua nashake hatari sema kuna siku kwenye jointmass KO tumeenda nikaitwa jukwaani kushake kumbe kuna sehemu sakafu imekwaruka bwana kidogo nivunjike kiuno.... Toka siku hiyo
Twende bwawan tukafue mtu wangu maji yamekata shule hahhahahah mutoto ya ajayandi
 
Ulivushwa eeh maana naskia wewe ni kipanga hatari....

Mimi nilikuwa naitwa wakojaco nilikua nashake hatari sema kuna siku kwenye jointmass KO tumeenda nikaitwa jukwaani kushake kumbe kuna sehemu sakafu imekwaruka bwana kidogo nivunjike kiuno.... Toka siku hiyo
[emoji23] [emoji23] ulikuwa unaenda joint mass na wewe? Au joint mass ya disco?
 
Back
Top Bottom