Mzee wa Top hilo niliitwa lakini ilikua bwenini tu.Top layer [emoji23][emoji56][emoji23][emoji23] nilikuwa nawahi sana jikoni
Hahaha, kuna jamaaa tullikua tukimuita "skeleton" kutokana na wembamba wake, sasa yeye kwa mbwembwe zake anaongezea inakua "Jibaba skela"haha maarufu kama skele (yaan skeleton)