Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Olevel -Baba Mchungaji

Advance- Mzee wa kazi

Chuo- (Reserved)
 
Primary computer, Nlkuwa nazionea sana hesabu Za sehem. O level H. P mtto WA Mapunjo (head master hyo),scientist Na Mwangson. Ikwriri sec. Hyo chuoni Mwangson Baba zube. Hatari sana...
 
Primary computer, Nlkuwa nazionea sana hesabu Za sehem. O level H. P mtto WA Mapunjo (head master hyo),scientist Na Mwangson. Ikwriri sec. Hyo chuoni Mwangson Baba zube. Hatari sana...
 
Mm nilivyoanza form1 ingiris ilikuwa tabu sana nakumbuka siku ya kwanza najibu swali neno struggle nikalitamka Strugo basi wana hawakuchelewa kunibandika jina LA strugo mpaka leo nalitumia
 
Ha ha ha hatari sana nakumbuka majina yangu dude,tapeli,kichupa,mzee wa mizani ila dah kweli siku hazigandi
 
B.i.g ,form one- nilikua mnene
Mopao,form two-nilipenda nyimbo za koffi
Pedeshee,-nilikua napend ku spend
Baba l***a- nilimpenda mtu fulani
Mbuyu-nilikua mnene
Fat joe-nilikua mnene
 
Beberu
Badae likaja kumodifaiwa nikaitwa Ras Bebe
 
Sekondari tatu tofauti
1.Mguu wa tatu
2.Mbegu
3.Kiumbe
 
haha maarufu kama skele (yaan skeleton)
Hahaha, kuna jamaaa tullikua tukimuita "skeleton" kutokana na wembamba wake, sasa yeye kwa mbwembwe zake anaongezea inakua "Jibaba skela"
 
Back
Top Bottom